Wagalatia 6

Wagalatia 6
1 Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.

2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.

3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.

4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake.

5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.

6 Mwanafunzi na amshirikishe mkufunzi wake katika mema yote.

7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

9 Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.

10 Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.

11 Tazameni ni kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe!

12 Wote watakao kuonekana ni wazuri kwa mambo ya mwili, ndio wanaowashurutisha kutahiriwa; makusudi wasiudhiwe kwa ajili ya msalaba wa Kristo, hilo tu.

13 Kwa maana hata wao wenyewe waliotahiriwa hawaishiki sheria; bali wanataka ninyi mtahiriwe, wapate kuona fahari katika miili yenu.

14 Lakini mimi, hasha, nisione fahari juu ya kitu cho chote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambao kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.

15 Kwa sababu kutahiriwa si kitu, wala kutokutahiriwa, bali kiumbe kipya.

16 Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.

17 Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu.

18 Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu. Amina.

About Fredrick

I am Fredrick Onyango, a Computer Engineer, Graphics Designer and have been a tutor of Computerized accounting. I am currently a Freelancer & Copywriter cum Proof reader.

0 comments on “Wagalatia 6

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

The 5K Formula

Your Health and Wealth Upgrade

What Will It Be

Spirit, Sole, Body, Son,Holy,

Commercial Builders of Washington State

Construction is Everything

How To Be A Positive Parent

Make the Journey of Parenting Easier

The Grief Reality

Normalising the conversation about Grief.

Aquarium 247

An aquarium guide with tips and tricks for you

Detoxing Cleanse

Benefits of Detoxing & Cleanse

Internet marketing Bootcamp

Sharing my very honest and special offer

Site Title

Change in Settings

Tips Hair Loss

Regrow Your Hair Naturally

Aquarium Fish Tips

Some useful advices to keep your aquarium fish pets healthy

Maansi Survival Aid Foundation

Promoting health and fitness by publishing our blogs and videos on Healthy living and Ayurveda.

Health and Diet Tips

Health Tips Now!

ПОЭТ КАФЕ

ПОЭТ КАФЕ: онлайн-проект Алексея Марковича (писатель, переводчик, режиссёр)

Juicing Ideas

Find the best juicing recipes

ReLive Battery

Extend Your Battery Live!

The 5K Formula

Your Health and Wealth Upgrade

What Will It Be

Spirit, Sole, Body, Son,Holy,

Commercial Builders of Washington State

Construction is Everything

How To Be A Positive Parent

Make the Journey of Parenting Easier

The Grief Reality

Normalising the conversation about Grief.

Aquarium 247

An aquarium guide with tips and tricks for you

Detoxing Cleanse

Benefits of Detoxing & Cleanse

Internet marketing Bootcamp

Sharing my very honest and special offer

Site Title

Change in Settings

Tips Hair Loss

Regrow Your Hair Naturally

Aquarium Fish Tips

Some useful advices to keep your aquarium fish pets healthy

Maansi Survival Aid Foundation

Promoting health and fitness by publishing our blogs and videos on Healthy living and Ayurveda.

Health and Diet Tips

Health Tips Now!

ПОЭТ КАФЕ

ПОЭТ КАФЕ: онлайн-проект Алексея Марковича (писатель, переводчик, режиссёр)

Juicing Ideas

Find the best juicing recipes

ReLive Battery

Extend Your Battery Live!

%d bloggers like this: