
What can wash away my sin?Nothing but the blood of Jesus;What can make me whole again?Nothing but the blood of Jesus. Chorus Oh! precious is the flowThat makes me white as snow;No other fount I know, Nothing but the blood of Jesus.2For my cleansing this I see—Nothing but the blood of Jesus!For my pardon this my plea—Nothing but the blood of Jesus!3Nothing can my sin eraseNothing but the blood of Jesus!Naught of works, ’tis all of grace—Nothing but the blood of Jesus!4This is all my hope and peace—Nothing but the blood of Jesus!This is all my righteousness—Nothing but the blood of Jesus!097 – Sioshwi Dhambi Zangu? “What Can Wash Away My Sin?” 1 Sioshwi dhambi zangu? Bila damu yake Yesu, Hapendezewi Mungu? Bila damu yake Yesu. Chorus Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa ila Damu yake Yesu. 2 La kunisafi sina, Ila Damu yake Yesu. Wala udhuru tena, ila Damu yake Yesu. 3 Sipati patanishwa, Bila damu yake Yesu, Hukumu yanitisha, Bila damu yake Yesu. 4 Sipati tumaini, Bila damu yake Yesu, Wema wala amani Bila damu yake Yesu. 5 Yashinda ulimwengu, Iyo, damu yake Yesu, Na kutufikisha juu, Iyo, damu yake Yesu. 097
0 comments on “What can wash away my sin?”