
Forever Here my Rest Shall be
1 Forever here my rest shall be,Close to Thy bleeding side.This all my hope, and all my plea.”For me the Saviour died.”
2 My dying Saviour, and my God,Fountain for guilt and sin,Sprinkle me ever with Thy blood,And cleanse, and keep me clean.
3 Wash me, and make me thus Thine own;Wash me, and mine Thou art;Wash me, but not my feet alone—-My hands, my head, my heart.
4 The atonement of Thy blood apply,Till faith to sight
1 Raha yangu yote, Bwana, I mbavuni pako; Mimi sina haja tena ila kifo chako.
2 Mwokozi uliyekufa, nawe ndiwe Mungu, Kifo chako ni kwa dhambi, ziondoe zangu.
3 Nioshe na niwe wako, nawe uwe wangu; Nioshe damuni mwako liwe fungu langu.
4 Nioshe si miguu tu, osha tangu nyayo, Hata kichwa changu juu, na ndani ya moyo,
5 Na iwe kafara damu nifanyapo kazi, Hata imani itimu, nikwone,Mwokozi. 190

0 comments on “Forever Here my Rest Shall be”